Natafuta mwanamke aliyezidi umri

Tukisema vijana wanapenda mteremko wanaume wanabisha, huu si umario huu.
 
Ninajitosheleza sa umario unatoka wap

Una nyumba????
Una gari?????
Una uwezo wa kutoa 50000 kila siku ya saloon??????
TAfuta saizi yako, utakonda bure shauri yako unatafuta mmama wa kutafuta na maisha nani kakwambia, waliopo wote washatafuta maisha yao, labda kama unataka ukawe mshika pembe.
 

Kwa jibu hili, akiendela kuleta uzi wa namna hii humu! Atakuwa mtu roho ngumu sana
 

Hahahaha ayo yako anzisha uzi wako
Mi sihitaji mtu mwenye dhiki kama akina wewe mi nahitaj anaehitaj penzi kama mimi so kama wewe unaitaji pesa uzi uu haukuhusu unasepa maana unaongea kama vile uko ulipo kuna mtu anakupa 50 kila siku
 
Kwa jibu hili, akiendela kuleta uzi wa namna hii humu! Atakuwa mtu roho ngumu sana
Mi najitambua mawazo ya mtu hayabadiliahi kile ninachojua

Sijasema nahitaji mtu wa kumpa ela
Nimesema nahitaji kimapenzi
Nyie ndo wale mnaoingia kwenye mapenz kusaka ela na mwishowe mnaishia kubaya

Anaeitaj pesa simtak na kama sitampata umu ata kwengine nitampata
 

Duuuh... Apologise na wengne wa dzain hyo njooni vyote hvo vpo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…