kijana Mpole 01
Member
- Sep 20, 2014
- 69
- 14
Kijana Mpole 01 naona ndio post yako ya kwanza karibu JFHabar!
Mi ni kijana miaka 25
Natafuta mdada au mmama aliyenizidi umri kwan ndo nawapenda
Ni kijana nmeajiriwa na elim yangu chuo kikuu.awe na ela au asiwe na ela yote sawa ila awe anayejipenda yaan msaf
Unaweza ntumia mawasiliano yako km email/no. n.k utavojisikia
Asanteni
jibu analo mshana...Tyta kangugua huyu jamaa, anatusumbua
Kijana Mpole 01 naona ndio post yako ya kwanza karibu JF
Kwann aliyekuzid umri kwann usitafute wa kufanana na ww
jibu analo mshana...
Si unapita tu kimya ka unaona haikuhusu au unacomment uonekane
vijana wa kwa Nancy Mitikisiko hawa [MENTION]Evelyne Salt[/MENTION], kijana hebu nenda kule kuna post kibao za wanaotafuta wabab na wamamNionekane kwa nani??
vijana wa kwa Nancy Mitikisiko hawa [MENTION]Evelyne Salt[/MENTION], kijana hebu nenda kule kuna post kibao za wanaotafuta wabab na wamam
Weee naye unakurupuka tu hata hujui unaenda wapi?
aliyekuambia shy land anatafuta jimama ni nani?
orodhesha mali zako ulizonazo kwanza, tupo wengi sana
mimi hapa je una assets gani mapaka sasa... una sh ngapi bank? unabiashara gani?
kwani jamaa hatafuri business partner...muulize size ya naniii
hapana anjibu hayo