Some ladies speak on top of their voices such that even neighbors wanajua kila kitu. Wanaume wengi wanapenda mwanamke ambaye ni soft spoken
Kintiku ni hivi uchawi wa mwanaume yeyote ni mwanamke mnyenyekevu full stop. Hata wanawake hawa wachunaji, kwani si ndo silaha yao kuu? Mwanamke akisha kuwa mnyenyekevu basi hakuna kitu chake kitakwama kwa mwanaume.
Napiga sana makelele hapo umenikosa
Mpaka sasa sijapata, ina maana inaweza kuwa sababu hiyo ndio maana hakuna anayejitokeza?
Hebu dokeza kidogo wasifu wk zaidi ya umri!Natafuta rafiki/mpenzi mwenye umri huo, umri wangu ni kati ya 38-45. Sifa kuu awe mwelewa, mpole asiyeongea kwa kupiga makelele na awe na Elimu walau kidato cha nne.
Welcome.
Haswaaa hilo ndio linawafanya wanaume wanase. Hivi huyu Wema Sepetu unadhani kwanini wanaume wanahangaika naye sana? Lazima ana sifa za ziada, mojawapo ninayoifahamu ni ''ile soft spoken tone'' hata awe provoked kiasi gani. UNYENYEKEVU ndio uchawi
Natafuta rafiki/mpenzi mwenye umri huo, umri wangu ni kati ya 38-45. Sifa kuu awe mwelewa, mpole asiyeongea kwa kupiga makelele na awe na Elimu walau kidato cha nne.
Welcome.
Natafuta rafiki/mpenzi mwenye umri huo, umri wangu ni kati ya 38-45. Sifa kuu awe mwelewa, mpole asiyeongea kwa kupiga makelele na awe na Elimu walau kidato cha nne.
Welcome.