Naweza kumudu $20 kwa saa.
Nitajitahidi $25 kwa saa
0653528220. Ongea nae huyo anaitwa aizaki.
c unge PM 2.
Ahsante sana Husninyo.
Simu ya Aizaki haipokelewi. Unaweza kuniambia anapopatikana ili nimfuate?
Natanguliza shukran tele.
Edylux
Pm ninaijua mwanzo mwisho ila sio mwl.
utaendaje bila taarifa?
jamaa anaenda kuomba kazi au kutafuta elimu ?