Natafuta mwalimu wa Nursery school na day care

Natafuta mwalimu wa Nursery school na day care

banalunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
231
Reaction score
67
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina shule ya "Nursery and Day care" iko maeneo ya Boko - Basihaya Dar es salaam, mwenye vigezo naomba ani PM.
 
mcheki huyu "0782 736 696" anatafutaga, yupo kule kisarawe amesomea kazi hiyo
 
namba yangu hii 0767695334 nimemaliza mwaka huu na nina ufauru wa 3.7GPA niko mpanda niwekee namba yako basi niwasiliane na ww
 
Back
Top Bottom