Natafuta mwalimu wa kum- brush mwanangu english | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mwalimu wa kum- brush mwanangu english

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbwambo, Jun 13, 2011.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33

  MWANANGU NI GRADUATE, LAKINI ENGLISH YAKE KWA KUZUNGUMZA SI MZURI
  NINATAFUTA MWALIMU ATAKAYE KUJA NYUMBANI BAADA YA MAKUBALIANO YA MUDA NA MALIPO

  AWE MWALIMU SI MZUNGUMZA KIMOMBO TU MAANA HATAJUWA NAMNA YA KUMFUNDISHA NA KUELEWA KWA HARAKA
  NITATAKA KUONA CV YA HUYO MWALIMU ATKAYE TAKA KAZI HII.
  WASILIANA NAMI KWA EMAIL: ak_abduel@yahoo.com
  Mama Anna
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuna watu wengine wana vipaji vya ualimu japo sio waalimu.Na kama waalimu ndo wangekua wanaiweza kazi leo hii angekua anakijua vizuri.

  Nwy nna dada yangu mwl mzuri sana wa kiingereza nitumie details za wapi ulipo na mengineyo nione kama anaweza kukusaidia!
   
 3. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Mtoto wa kike au wa kiume?
   
Loading...