Natafuta mwalimu wa Kilimo cha matango

Mwangson

Member
Jul 6, 2017
28
15
Hello wanaJF,
Mimi kijana mpambanaji wa kitanzania, natafuta mentor wa kilimo cha matango.

Tafadhali Kama una hints zozote kuhusu kilimo hiki karibu tafadhali.
 
Ku google unapata idea tu, but reality unatakiwa kuwa na mtu aliekuwa dealer wa ishu husika. Nmesoma Makala nyingi tu lakini Kiu yangu Kwa ssa nikukutana na mtu aliewahi au anaejihusisha na kilimo hiki.
 
jukwaa la matangazo kuna mdau anatafuta soko lake mtafute kule akupe abc zake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…