southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 904
- 1,102
Hello wakuu,
Nipo dodoma natafuta Mwalimu atakae weza kunifua kwenye Boxing (yaani mapigano yale ya ulingoni kabisa) kama yupo naomba mawasiliano yake.

.Siwezi kukunja ngumi Vidole vinakucha zangu pendwa
Nipo Ilazo daraja dogo hapa