Hi everyone in here,
Naitwa Junior Ruta, nimejoin forum hii just yesterday nimefurahishwa na baadhi ya members wa humu wanaongea lugha nzuri sana...although sijakijua Swahili vizuri sana ila nimepata tabasamu sana.
Mimi ni fellow Tanzanian sema nimekaa muda mrefu sana nchi za watu. I've stayed in UK For almost 16 year. Nimeenda nje nikiwa na miaka mitano tu baada ya kuhitimu nursery pale International School of Tanganyika.
Please...nahitaji private teacher wa kunifundisha evening classes namna ya kuzungumza Swahili. Napenda sana hii lugha kuisema kwa usanifu.
Naomba awe ana makazi yake Dar..meals and accommodation ni juu yangu. Nitaanza kumlipia USD 1000 per month...nikizidi kufanya vizuri nitaenda naongeza dau.
Napenda sana socialization...kama kuna member ana makazi hapa Osterbay tafadhali kuwa rafiki yangu.
Mimi ni young male of just 23 years. Sijaoa ila Nina girlfriend myahudi anaitwa Linda. I met her chuoni Oxford.
Thanks you my fellow Tanzanian...
Usiku mwanana nawatakieni.
Jambo Tanzania.