Junior Rutashoborwa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 228
- 210
- Thread starter
- #61
Nashukuru sana.Kwa andiko lako hapa inaonyesha huhitaji mwalimu wa kukufundisha lugha ya Kiswahili... mtiririko wa uwasilishaji wako umekaa vizuri sana!... Epuka tu kuchanganya maneno ya kiingeleza kwenye wasilisho la kiswahili kama ulivyofanya.
Badala ya kutafuta mwalimu wa kukufundisha Kiswahili kizuri, tumia vema hili jukwaa ukichangia mada zinazoibuliwa humu huku ukijichanganya mtaani kwa kuongea na watu kwa kiswahili. Zaidi ya hayo ni kukukaribisha katika uringo wa wanaJF.
Wewe ni mtanzania mungana sana.
God bless you.
Actually, naweza andika kiswahili Ila kukisema inanipa tabu kidogo.
Anyway, nimesha Fanya communication na uncle from Nairobi. This week nitapata tutor Mkenya.