Natafuta mwalimu mzuri wa Swahili

Junior Rutashoborwa

Senior Member
Joined
Oct 13, 2019
Messages
175
Points
250

Junior Rutashoborwa

Senior Member
Joined Oct 13, 2019
175 250
Hi everyone in here,
Naitwa Junior Ruta, nimejoin forum hii just yesterday nimefurahishwa na baadhi ya members wa humu wanaongea lugha nzuri sana...although sijakijua Swahili vizuri sana ila nimepata tabasamu sana.

Mimi ni fellow Tanzanian sema nimekaa muda mrefu sana nchi za watu. I've stayed in the UK For almost 16 years. Nimeenda nje nikiwa na miaka mitano tu baada ya kuhitimu nursery pale International School of Tanganyika.

Please...nahitaji private teacher wa kunifundisha evening classes namna ya kuzungumza Swahili. Napenda sana hii lugha kuisema kwa usanifu.

Naomba awe ana makazi yake Dar..meals and accommodation ni juu yangu. Nitaanza kumlipia USD 1000 per month...nikizidi kufanya vizuri nitaenda naongeza dau.

Napenda sana socialization...kama kuna member ana makazi hapa Oysterbay tafadhali kuwa rafiki yangu.

Mimi ni young male of just 20 years. Sijaoa ila Nina girlfriend myahudi anaitwa Linda. I met her chuoni Oxford.

Thank you my fellow Tanzanian...

Usiku mwanana nawatakieni.

Jambo Tanzania.
 
Bavarian8

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Messages
364
Points
1,000

Bavarian8

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2018
364 1,000
Hi everyone in here,
Naitwa Junior Ruta, nimejoin forum hii just yesterday nimefurahishwa na baadhi ya members wa humu wanaongea lugha nzuri sana...although sijakijua Swahili vizuri sana ila nimepata tabasamu sana.

Mimi ni fellow Tanzanian sema nimekaa muda mrefu sana nchi za watu. I've stayed in UK For almost 16 year. Nimeenda nje nikiwa na miaka mitano tu baada ya kuhitimu nursery pale International School of Tanganyika.

Please...nahitaji private teacher wa kunifundisha evening classes namna ya kuzungumza Swahili. Napenda sana hii lugha kuisema kwa usanifu.

Naomba awe ana makazi yake Dar..meals and accommodation ni juu yangu. Nitaanza kumlipia USD 1000 per month...nikizidi kufanya vizuri nitaenda naongeza dau.

Napenda sana socialization...kama kuna member ana makazi hapa Osterbay tafadhali kuwa rafiki yangu.

Mimi ni young male of just 23 years. Sijaoa ila Nina girlfriend myahudi anaitwa Linda. I met her chuoni Oxford.

Thanks you my fellow Tanzanian...

Usiku mwanana nawatakieni.

Jambo Tanzania.
Mkuu mm ni mwalimu wa hilo somo la Kiswahili ila nipo kibaha na ninafundisha hapa PHILBERT BAHI HIGH SCHOOL ,picha ya ndege
 
Forum statistics

Threads 1,390,775
Members 528,266
Posts 34,061,497
Top