The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,396
- 20,631
Habari,
Kama title inavyojieleza ninatafuta mwalimu mtaalamu wa lugha ya kiingereza, ninatarajia kupata wageni wakorea, wanajua lugha ya kiingereza ila wanataka kuendelea kujifunza na kuweza kuzungumza na kuwasiliana vyema kwa lugha hiyo.
Wanatarajia kukaa hapa Dar es Salaam, na mwalimu ni bora awepo Dar es Salaam. Malipo mazuri yatatolewa.
Nitumie Private mawasiliano yako.
NB: Ninatafuta MWALIMU MTAALAMU wa lugha ya kiingereza