Natafuta Mwachuo Mwenye Interest ya Blogging.

Bw.Daffa

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
419
Reaction score
117
Heshima Mbele Wakuu,

Nina Idea ya Blogging Ila Nataka Niungane na Wenzangu Kadhaa.
Ningepnda Wawe na Sifa Zifuatazo:
-Mwaka wa Pili au Zaidi.
-Kutoka Fields za Education,Jounalism,Business,IT,Sheria na Political Science.
-Wanaosoma Vyuo vya Dar es Salaam
-Wanaomini Kwenye Kujiajiri au Ujasiriamali kwa Ujumla.

Kama Upo Dar na Uko Tayari Tafadhali NiPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…