Natafuta muvie ya Sarafina ila ambayo ni ndefu( Extended). Maana hii ya sasa ni tofauti na niliyokuwa naangalia miaka ya 90. Iwe na kile kipande wanachoimba kanisani, pia kuna kile kipande jamaa anakanyaga misosi juu ya meza. Na pia wapo darasani wanaimba wimbo Bringback Nelson Mandela.
Nitatoa Dau nono kwa mwenye nayo hii kitu ili anipe niwaoneshe watoto wangu
View attachment 1365361
Sent using
Jamii Forums mobile app