Natafuta muuza mayai ya kienyeji aliyepo Dodoma vijijini.

SOWETO_MAN

Member
May 4, 2021
69
32
Habarini za muda huu wana jukwaa...natafuta mtu anae uza mayai ya kienyeji kwa bei ya jumla Dodoma tufanye biashara!
 
Matapeli yanakuja vijijini baada ya Mambo kubana mjini .. Yani 200????
By the way nimesema kwa 200 ni kutoka kwa mkulima kabsa na si mtu wa kati kama kuna mtu wa kati basi kwa hyo 200 haiwezekani...nalijua hilo!
 
Kulikuwa hamna haja ya kejeli mkuu,,,,hii ni biashara kuna maelewano mbona?
Hapana mzee hiyo inakua sio biashara Tena Bali ni unyonyaji na utapeli kwa ndugu zetu huko vijijini,, hii nchi ni yetu site,, usipende kunyanyasa wenzako kisa Wana shida au hawana ujuzi wa Jambo..
 
Mimi sio kwamba nimesema ni hyo 200 tu si nimetoa option kabsa hata 250 au 300?
 
Hapana mzee hiyo inakua sio biashara Tena Bali ni unyonyaji na utapeli kwa ndugu zetu huko vijijini,, hii nchi ni yetu site,, usipende kunyanyasa wenzako kisa Wana shida au hawana ujuzi wa Jambo..
Ndio lengo hasa la kusema bei ya jumla!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom