Natafuta muombeaji mwenye karama Mafinga Iringa

TIKEI

Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
62
Reaction score
6
Habari za Jioni
Naomba kama kuna mtu anajua muombeaji/waombeaji wenye karama ya kutoa mapepo maeneo ya Mafinga. Ndugu yangu anpetwa kichaa mwaka wa kumi sasa na hospital imeshindikana. Mimi nipo Mufindi Iringa.
 
Kuna mchungaji hapo mafinga anaitwa Mchungaji Chuma wa TAG. Kanisa lake liko kule chini karibu na kanisa la Lutheran mtafute huyo. Nyumbani kwake ni kwe ile nyumba ya mbunge wa zamani Malangalila
 
Back
Top Bottom