Washamba ni wengi sana unaweza kwenda shule na bado ujinga usikutoke ujinga hauna dawa ?? Mke ni hekma busara subira udilifu sio elimu
Una Elimu gani?na kama huna Elimu ni bora utafute kozi kisha uje.
swissme
hivi umeelewa uzi vizuri? anatafuta mume na si kazi
nakushauri kupeleka maombi haya kwenye nyumba za Ibada kama vile misikitini na makanisani, yapeleke kupitia kwa viongozi w nyumba hizo. kwanza wao watakushauri mambo mema na mazuri namwinshowe kabisa wanaweza kukutafutia mtu unayeendana na naye. Huku dadangu hawana tofauti na yule mlioaachana, na wanaweza kuwa ovyo kuliko uliyemuacha.Fanya maombi ya kutosha ili Mungu akuongoze uweze kupata Mume bora na mcha mungu.Mimi ni mwanamke, nina mtoto mmoja i am 32, nilitengana na mume kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nimeamua kutumia jf kutafuta mwenza maana walio mtaani ndo hawa hawa walio JF aliye tayari please njoo pm tuzungumze.
Kama hauna la maana pita tu. Mwanaume ninayemtaka awe kuanzia 34-45.
Nitashukuru kama matusi na kejeli havitajitokeza hapa.
nakushauri kupeleka maombi haya kwenye nyumba za Ibada kama vile misikitini na makanisani, yapeleke kupitia kwa viongozi w nyumba hizo. kwanza wao watakushauri mambo mema na mazuri namwinshowe kabisa wanaweza kukutafutia mtu unayeendana na naye. Huku dadangu hawana tofauti na yule mlioaachana, na wanaweza kuwa ovyo kuliko uliyemuacha.Fanya maombi ya kutosha ili Mungu akuongoze uweze kupata Mume bora na mcha mungu.