uko wapi ubavu?
Mume muislamu,umri wake miaka 30-35.Awe mwajiriwa au shughuri yoyote inayomwingizia kipato,mrefu mwili wa wastan,kabila lolote.
Rangi yeyote ila akuwa mweupe itakuwa vema.AWE NA UPENDO WA DHATI.
Mm nina miaka 28,mwajiliwa serikalini,mrefu mnene wa wastani,mweusi,sina mtoto wala sijawahi kuolewa,kama upo serious achia namba nikupigie.
Watu wanaoishi mwanza,watapewa kipaumbele zaidi..

suala la kuolewa mke wa pili hapana,elimu kuhusu dini ni kiwango kidogo mno,kama vile sijasoma nahitaji yeye awe nuru kwangu.