Muda wote ulikua wapi dada...
Mbona mweka uzi amedisapia tena.....
Kila la heri ma mdogo
Faithcolly, kanikumbusha hii thread....kwa kweli tulilumbana sana...this time am cool.hahahah..
[h=3]Natafuta rafiki wa kiume[/h] Started by Faithcolly, 6th November 2013 05:25
Ujana ulikula na nani?
nilikula na babako!!!!!!😡

nimeshaelewa kwanini haujaolewa mpaka leo, kwajibu hilo hufai kuwa mke wa mtu wala nyumba ndogo na utasubiri sana.
nilikula na babako!!!!!!😡
Halafu ww bana una vioja sana !! Sasa mie nakutaka ww halafu usikute ubabe hapa tu ndani ya nyumba kimya na huu mdomo wangu nakuambia utakoma