Natafuta mume

Natafuta mume

somoye

Member
Joined
Jun 4, 2010
Posts
61
Reaction score
24
Natafuta mume

Sifa:

Mcha Mungu, mwenye kazi inayoeleweka,anaye penda family, mwenyekupenda maendeleo, umri 35-50.

Angalizo nina watoto wawili
 
Njoo pm nipatie namba!
Na mm nina watoto wawili!
 
natafuta mume
Sifa:
Mcha Mungu
Mwenye kazi inayoeleweka
anaye penda family
mwenyekupenda maendeleo
umri 35-50
Angalizo Nina watoto wawili[/QUOT
ni PM,,,,,waiting
 
Nipe upendeleo,miaka 34,mcha Mungu nna mapenzi ya dhati na pia najali.Watoto 2.Ni pm
 
wanaume changamkeni mumpige tafu mwenzenu kusomesha....
 
kwa wale wenye mali na feza watch out kuna wanawake wanataka ndoa baada ya mda anadai talaka mgawane mali
 
Kumbuka bei za used zimeshuka sokoni. Watoto 2 ni familia tosha.
 
bimdada mikonda naweza kupata buku 20 daily ivyo naweza acha kiten home cha uchakavu daily unasemaje hayo mengine yote niko vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom