Natafuta Mume

Nimechoka na maisha ya upweke natafuta mpenzi kisha tukielewana tuwe mke na mume.

nina miaka 28 naishi Dar maeneo ya mbezi beach

VIGEZO na masharti hakuna sio? mpenzi ushanipata, tusipoelewana tutaendelea kuwa wapenzi ama?
 
aisee mko fasta.
simplelady inbox lazima ijae!
 
wewe ni mwanamke au mwanaume,maana hadi wanaume wanaolewa siku hizi.
 
Nimechoka na maisha ya upweke natafuta mpenzi kisha tukielewana tuwe mke na mume.

nina miaka 28 naishi Dar maeneo ya mbezi beach
Utayaweza kwa vile asubuhi tumeambiwa kuwa watu wanahonga ili majibu yawe safi, itabidi uthibitishe kama ni mmoja wetu (Mabikra) ndo utupate maserengeti boys
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…