Natafuta mume

the feedback is..nilipata mtu hapahapa shortly after kupost..tukaanzisha mahusiano,i loved him..he loved me...tatzo likaja kwenye ndoa..yy mkristo mim muslim,wazazi wake wanaamini muslim tuna majini..hvyo tukasitisha mahusiano..

Salama ongeza kigezo cha dini ktk hitaji lako to be precise...
 
the feedback is..nilipata mtu hapahapa shortly after kupost..tukaanzisha mahusiano,i loved him..he loved me...tatzo likaja kwenye ndoa..yy mkristo mim muslim,wazazi wake wanaamini muslim tuna majini..hvyo tukasitisha mahusiano..

Pole dada, hivyo ndivyo 90% ya wakiristo wanavoamini kuwa Waislam mnaamini kuwa majini ni malaika. Ndio maana ni nadra sana kumkuta Mkiristo anasogea karibu na msikiti, wanaogopa sana!
 
Ukitaka kumkimbiza mkristo nyumbani kwake wewe nenda katupe karatasi lenye hayo maandishi yao mlangoni kwake.
 
Nilikimbiakijitonyama jumla bado miezi 5 yamgu ilikuwakaratasi namayaii. Weee
Malatya ainyweki
 
Mpwalihisi bilionea malamdcruiser yaofisi weweee nlasemaninishida. Mara kichwachakukuu mlangoni ayamamboyapo anziamaisha uswazi iende masaki ndiokicjwa inakaasawa
 
Maombiyangu upate mpenzo wa kitimoto halisi
 
Pole sana Dada Salama kwa majibu mabaya ya baadhi ya wanajf wengine.

Lakini nimekupenda sana kwa majibu yako mzuri kwa 100%, sijaona kama umekosea kwa hayo majibu, imekuwa tabia ya watu kudharau makabila ya watu na kudharirisha wanawake sijapenda hiyo tabia.
Nakuombea kwa Mungu akupe Mume mwema na wakufanana na wewe.

Na watu tupunguze MATUSI hayasaidii.
 
Watu wanavyoangaika utakuta ni dume linawazingua tu
 
the feedback is..nilipata mtu hapahapa shortly after kupost..tukaanzisha mahusiano,i loved him..he loved me...tatzo likaja kwenye ndoa..yy mkristo mim muslim,wazazi wake wanaamini muslim tuna majini..hvyo tukasitisha mahusiano..

Nakuomba umalizie kwa hiyo jamaa alikula papuchi,
 
Shy land swali gani hilo?
Ni sawa na unamkuta mtu anakula halafu unamuuliza, eeh unakula?!!!

Mkuu Mrigariga nimekuelewa sana, lakn na mimi nilikuwa nauliza tu, ili kupata uhakika kwamba mkristu alikula papuchi ili wanaume waislam wanaomtaka wajue kabisa mkristu alitafuna papuchi ya muislam. heeee!!
 
Last edited by a moderator:

Kwenye mapenzi sidhani kama dini ina nafasi sana. Nimeona watu wengi wamebadili dini kwa sababu ya mapenzi. Tena wengine wametengwa na familia zao sababu ya misimamo yao.
 
Last edited by a moderator:
Kwani kunamaajabu gani kwa mristo kusex na muislam?Mbona hata waislama wanawagaragaza kila uchwao wakristo tena mpaka wanazitemea mate papuchi za wakristo lakin hakuna anaestaajabu? Rudi shule angalau QT upanue IQ yako ndogo!
Mkuu Mrigariga nimekuelewa sana, lakn na mimi nilikuwa nauliza tu, ili kupata uhakika kwamba mkristu alikula papuchi ili wanaume waislam wanaomtaka wajue kabisa mkristu alitafuna papuchi ya muislam. heeee!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani kunamaajabu gani kwa mristo kusex na muislam?Mbona hata waislama wanawagaragaza kila uchwao wakristo tena mpaka wanazitemea mate papuchi za wakristo lakin hakuna anaestaajabu? Rudi shule angalau QT upanue IQ yako ndogo!

Wewe komaa tu, na hzo shule zako na iq zako kubwa.

lakn tambua kabsa hi iq yangu ndogo ambayo wewe unaiona haifai ndio inanifanya niisha maisha ya raha nasiyo yakuombaomba, au umeniona hata siku moja nimekuja kukuomba hata tsh mia.

kuhusu papuchi ya muislamu imetafunwa na kakristu tena bila malipo kabsa. hehehee!
 
Wacheni mambo ya dini mkristo ni mkristo na muislamu ni muislamu. Kila mtu akona dini yake. Ama niajeni?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…