Salama Jay
Senior Member
- Oct 24, 2013
- 131
- 68
Jamani am tied of being with men ambao hawajui wanataka nini in life..i need a serious man..am 23,mhaya na ni mnene kidesign..shepu ya kihaya to be precise..ni mweusi na sio mrefu wala mfupi size ya kati.!i might not be educated kihvyo but am intelligent n know how to treat my man..kazi kwenu serious men..PM me..
I nid a tall man mweupe au maji ya kunde..,awe mwaminifu,anayejali na hapendi uongo kama mim coz nachukia lies kwakweli..awe outgoing,smart and responsible..
na mie nataka mke lakini asiyependa kiswanglish anayethamini lugha ya TaifaJamani am tied of being with men ambao hawajui wanataka nini in life..i need a serious man..am 23,mhaya na ni mnene kidesign..shepu ya kihaya to be precise..ni mweusi na sio mrefu wala mfupi size ya kati.!i might not be educated kihvyo but am intelligent n know how to treat my man..kazi kwenu serious men..PM me..
Jamani am tied of being with men ambao hawajui wanataka nini in life..i need a serious man..am 23,mhaya na ni mnene kidesign..shepu ya kihaya to be precise..ni mweusi na sio mrefu wala mfupi size ya kati.!i might not be educated kihvyo but am intelligent n know how to treat my man..kazi kwenu serious men..PM me..
nenda facebook
kwani kulikuwa na ulazima wa kutaja kabila lako!?
Hujui kuwa wengine tuna aleji na hayo makabila!
kwanin wahaya hamuwez kuaongea /kuandika bila kuchanganya lugha! Au ndo kuonyesha umshomire huo.!