Kiukweli kabisa
nivea siamini kama ni wewe umepost hii makitu. Kuna mtu kakuibia password yako?
Naamini hata
Ciello uliyem-mention hawezi kuisapoti kauli yako hii ya kukatisha tamaa na kubeza kwa kiwango hiki.
Nakushauri usirudie maneno ya kejeli namna hii kwabinadamu mwenzako atafutaye kwa dhati.
Haya tuyafanyie kule chitchat
Ahsante