mrsleo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,588
- 3,886
ndugu yangu haya mambo hayana formula kabisaaaaaaaaa, ndio mana unaweza date mtu hata miaka 10 akaja kukuacha akaoa/kuolewa na mtu aliemjua ndani ya mwaka mmojaHao serious ashindwe kuwapata huko duniani ambapo wanamuona aje kuwapata hapa cyberspace kweli



Majibu yako yanaonyesha ubabe wa wabena. Upate hitaji la moyo wako.

