NATAFUTA MUME

Write your reply...bibie naona hujatoa vigezo unazoazoa tu au sio ilimradi yaende
 

Bado haukupata [emoji848]
 
Unapojipeleka pm wewe mwanaume, jipime na ujichunguze hulka ya comment zako humu ndani la sivyo unaweza jikuta unaangukia kwenye mikono ya watu wasiojulikana.
 
Natafuta mume, mkristo29-35
Watu wanatafuta madili ya pesa wewe unatafuta upuuzi... mume hatafutwi, mume/mke ni matokeo ya ukaribu, urafiki na mapenzi baina ya watu wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…