Natafuta mume

Hao ndo wazuri...hasikii kitu wee unaendelea ru
Haipendezi kabisa hata hivyo kwa taarifa yenu hiyo ni invention mojawapo ya ibilisi lengo likiwa ni kuzidisha machukizo juu ya uso wa nchi, hata hivyo Mungu alitupa binadamu uhuru na uwezo wa kuchagua, hakuna aliyelazimishwa kumwamini Mungu ni hiari kwa moyo wako tu.
[HASHTAG]#Tamaa[/HASHTAG] ikishachukua mimba, huzaa mauti
 
Uwiiii nimekosea uzi wa kuComment, naombeni mnielekeze uzi wa wale watu wa samantha uko wapi?, maana leo nimekosea njia ajabu

samahanini sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…