Natafuta mume

Kama huna sifa au unatafuta mtu wa kujitimizia haja ya mwili wako naomba ukae pembeni
Mkuu unaonaje wakati unamtafuta "Mr. Right," Tuendelee kujitimiziana haja ya mwili? Nipo AR; Njoo PM tuyajenge....
 
MCHAGUA NAZI MWISHO WAKE NDIO HUU!!! TUNAKUSUBIRI UMRI USOGEE ZAIDI TUTAKUOA BILA YA MASHARTI MENGI.ITABIDI UTOE TANGAZO REDIONI KABISA!!!
 
Hii tangazo nila 2017 ebu tupe mrehesho una watt wangap na huyo mumeo wa hapa Jf au ndo mtu aliliwa kimasihara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom