Natafuta mume

Safi Sana Mi nadhani njia hii ni nzuri mtu unaelewa kabisa naingia kwenye mahusiano ya aina gani. Zile date za kufukuzana gizani na kwenye simu unamganda mtu ambaye hujui ana malengo gani na wewe!
Mungu akuongoze dada
 
Napenda sana manesi ila mm mda bado kwakweli. Kila lakheri
 
Mimi niko tayari nitafute kwenye pm tuelewane, tafadhali usinihangushe
 
MWENYEZI Mungu akupe haja ya Moyo wako.
Ukaione Bright future
Na kuzishinda changamoto za ndoa.
Uvumilivu,Kuchukuliana,Kuheshimiana na kubeba majukumu ya kifamilia.
 
Mdada.. Umeajiliwa tayari
 

ulikuwa unatafuta? kwa hiyo saizi hutafuti tena?

by the way kama bado unatafta niko hapa nina project flani ya profession yako ko utanifaa sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…