Natafuta mume

kama miaka 31 mzee...

sijui Rebeca nitakua nani?kiajuza lol

all the best mdada,

ikifika zamu yangu nitatafuta,

tena humu humu hahahahahhaha
 
huku JF unatafuta MACHOZI wewe!

Labda kama Ulikosea kusema MUME
 
kama miaka 31 mzee...

sijui Rebeca nitakua nani?kiajuza lol

all the best mdada,

ikifika zamu yangu nitatafuta,

tena humu humu hahahahahhaha
kamwe ucje jikuta wapata pressure tokana na mawazo ama mtazamo wa mtu mwngine ...... remain firm and do whatever you think is right .... hata kama utaonekana uko pekeako simama imara mana wanadamu si wema ...... wengi wetu hatuna UTU na ni wakatishaji tamaa wa wenzetu
 


Ewaaa RRONDO, huyu wa 2011 bro!!
 
kwaiyo huko kwenu wanawake wenye 31 bado mnawaweka kwenye rika la wasichana?
Wakati mwingine ni vyema kuonyesha MATURITY yako katika kile unachokiwaza ama kukitoa katika "jukwaa" kama hili ....

Rejea vizuri post yangu uloi- quote then nambie ni wapi niliyaandika hayo mawazo/mtazamo ulokuja nao hapa? post yasomeka na kueleweka wazi kabisa, mbona wataka mtazamo wako uwe wangu pia?

By the way hebu tujuze ili nasi tupate uelewa japo halikuwa kusudio langu huko kwenu umri wa mwanamke waanzia miaka mingapi?
 
Umepata tayari mume?
 
TUPIA PICHA
 
 
Anatafuta kick huyoo!
Toka lini mume mchamungu akapatikana mitandaooni!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…