kalikalanje
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 227
- 285
Mhh mi nahitaji mwanamke wa kumuoa lkn wanawake na hata wanaume wanaojifanya au kujiona ni wacha Mungu saana huwa wana mabaya mengi saana so toooo religious is not good as they always seem to be standing behind the curtains mhhhh DINI IKIWA NI KIGEZO NI NOMAAAHabari,mm ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa .Nimeokoka na mpenda Yesu,Sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi ktk njia zimpendazo Mungu,awe amejiajiri au anafanya kazi.Karibu pm kwa maelezo zaidi.
Yaaa muulize si unajua siku hizi hakunaga first born ila the first to be let live !!!!!Huna mtoto, ila umeshatoa mimba ngapi to-date please?
wanawake km wewe mnakuaga mna roho mbaya, mnajifanya mmeokoka kuficha maovu hamfai kuolewa, endelea kukesha/kushinda kanisani umsifu yesu!
asante dada muokovuAsante kaka,Mungu akubariki sana
Kuwa makini humu,UMESHAPATA AU BADO??????????????
Wenye elimu ndogo wanakubalika walio okoka?Habari,
Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.
Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi katika njia zimpendazo Mungu, awe amejiajiri au anafanya kazi.
Karibu pm kwa maelezo zaidi.
Huko kwenye ulokole ulikokimbilia kama na kwenyewe hujapata mume basi sahauHabari,
Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.
Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi katika njia zimpendazo Mungu, awe amejiajiri au anafanya kazi.
Karibu pm kwa maelezo zaidi.
Habari,

Naombeno nifunfishwe jind ya kutumia pm
Jamani nyie walokole wa mwendokasi mume hatafutwi huku!Muombe Mungu akufunulie akuoneshe mume,au hamjui kuomba?!mi inanikera mtu kujifanya mlokole halafu eti anakuja kutafuta mume huku,au umeomba Mungu umechoka kusubiri?!Mungu anajibu maombi kwa wakati wake muafaka sio kwa wkt wak😵mba kwa imani na uwe tayari kusubiri hata ikipita miaka 10Habari,