Natafuta Mume

Picha nzuri ila ukimuona unakimbia na hugeuki nyuma.
 

Mimi sitaki uwe mchumba wangu ila nimependa tuwe marafiki. Naweza kukupigia sasa hivi? Au tuchat whatsapp
 
Kuwa makini,utampata tu,maana waume feki humu JF wako kibao.
 
Umechoropoa vichanga vingapi,namaanisha,umetooa mimba ngapi,sifa ninazo,njibu
 
We huwezi kupata mume ume expire,mtaani kuna totozi zimeguswa kidogo tu watu waache kuoa waje kwako papuch imepitiwa vya kutosha miaka yote hiyo,ungesema unatafuta mwanaume wa kukupa raha ungenipata ila sio kukuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…