Nadhan alipata. Kisha akazalishwa na kuachwa ndiyo maana anasema aliumizwa na kachoka. Tumsaidie jamani.2013 ulikuja hapa jukwaani ukitafuta mme leo nako umerud pole sana dada yangu japo vigezo sina
Huo ubaguzi....!Labda mtoto na si watoto....
Hahahahahha hebu njoo kwanza chemba ninakutafutaHuo ubaguzi....!
Tuna picha yako kwanza nithaminishe huenda nikaridhiaUnaishi wapi?
Nasubir mbona hutumi picture??mi nina salasini na saba je utanipenda?
napenda watu wenye kumbukumbu kama nyie!!taratibu ataishiwa nguvu....hiyo break aliyojipa ya miaka 3 alijua tumemsahau......saafi kwa kumbukumbu nzuri,hajatupa mrejesho wa miaka mitatu iliyopita leo hii anatafuta mume mwingine!!WANAUME WA DAR MUOGOPE HILI2013 ulikuja hapa jukwaani ukitafuta mme leo nako umerud pole sana dada yangu japo vigezo sina
Mtoa mada ndio mtotoJf inaonekana kwa sasa ina watoto wengi, maana naona majibu mengi hayawezi kujibiwa na mwanaume aliyepevuka.
Mbona sijakuona...!?Hahahahahha hebu njoo kwanza chemba ninakutafuta
Njoo turudiane ili tulee mtoto wetuMimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.
Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
Njoo pmMimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.
Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
Ni PM