kwan wanaotaka wanaume wote ni ke?
hujasikia ndoa za mashoga, aseme yeye ni ?
atakuwa kasoma kjjn huko mjn huwez kuhangaika na papa za mitandaoni zilizo chacha
mtaani kwenu koote haujawaona??au hawakutaki maana hadi kufikia hatua hii inaonyesha mtaani soko hauna kabisa..Kizuri chajiuza,kibaya chajitembeza..Mwanaume mwaminifu mwenye umri kuanzia miaka 36-40.
Awe anajituma katika maendeleo, aliye tayari nitumie msg namba 0769741349.
Specification zako... sikuizi waoaji tunataka tujue kitu kwa marefu na mapana...