Natafuta mume wa kunioa

Natafuta mume wa kunioa

sia alex

Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
8
Reaction score
1
Mwanaume mwaminifu mwenye umri kuanzia miaka 36-40,awe anajishughulusha,awe mkristo,asiwe na mtoto zaid ya mmoja

Awe anajituma katika maendeleo, aliye tayari npm
 
Poa subir wataalam wa mambo wanakuja
 
pia usisahau kumwomba Mungu wakati ukisubiti majibu ya humu...ili wale wenye nia mbaya washindwe kwa jina la Yesu....nawe upate mume bora...
kila la heri mkuu
 
kwa umri huo wa mwanaume..... proportionally utakuta in each 100 men 2 ndio wako single au wawe wamefiwa.
 
Specification zako... sikuizi waoaji tunataka tujue kitu kwa marefu na mapana...
 
Jinsia yako, Dini, kabila, umri, elimu, kazi, makazi.?
 
Weka picha hata ya miguu yako ili kuondoa watu utata kama wewe ni me au ke maana maelezo yako hayajitoshelezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom