Natafuta mume wa kunioa

Umechezea ujana sasa hivi unahangaika pole dada mchumba hatafutwi hivyo ww jitunze kuwa na subira mwombe mungu
 

Nina vigezo nichek 0755485448
 

Kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siye mume wako
Yohana 4:18
 
How old are you?

BTW nawe ni manka. Sema sifa zako zijitosheleze....mfano mi napenda weupe weupe hivi. Niambie kabisa km una rangi ya tyre km mimi nijue hunifai.

Umri nao mtihani, 30+ mara nyingi wameshaoa labda awe widowed. Do u prefer a widower?
 

Miaka 30-40 :what: sasa siuseme unataka mume wa mtu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…