Natafuta mume wa kunioa

Kuna wanaume kibao wameweka matangazo ya wachumba kwanini usiwaPM hao?


Exactly, watu matangazo yanabinduka bila reply, wanarudisha tena, yanabinduka, wanarudisha tena hadi huruma!
 

Hapo kwenye sifa za unayemtafuta naomba ubadilishe isomeke "AWE HAJAWAHI KUKUTANA NA MWANAMKE" na wewe uwe hujawahi kukutana na mwanamume,kutokuoa au kutokuolewa nadhani siyo vigezo muhimu kwa sababu wengi hatujaoa wala kuolewa lakini tumeshafanya mapenzi mpaka sasa tunaona expire date ina-indicate ndiyo tunashtuka,kama una hivyo vigezo ni-PM ASAP.
 

Mbona sifa hizi sizioni kwenye wasifu wako?
 
Najua value yangu Mkuu.Na kwa mwanaume mwenye uelewa mpana ataangalia vigezo vya mwanamke zaidi ya umri.Nimetumia lugha nyepesi ili nisikukwaze.Ukiisoma vizuri utajua na maanisha nini.

jibu zuri sana....
 
Kesha puyanga sana mleta mada. Na yaelekea age yake ni 31 and above. Mpaka masters umeliwa na wangap? Primary 2, o leval 3, a leval 4, bachelor deg 5, masters 2 jumla 16
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…