Natafuta mume wa kunioa


yule jamaa wa tiGO aliyemuacha vicky atakufaa sana
 
Mi nina nia ya dhati, lakini sina sifa hata moja kati ya hizo ulizozitaja hapo juu...........Nimesikitika sana, nimehuzunishwa sana na kusoneneshwa sana na kukosa sifa......Poor me!

Aaaah bwana,hata moja!,dah! basi poa bwana.
 
Duh, dada ulikua wp? Kwa ushauri subiri utafutwe ww na utongozwe maana ww ni kama umeshindikana unaanza kuforce, wife material wanatafutwa sana na ni hadimu, bila shaka ww utakua sio ndo maana unajitangaza.
 
Aaaah bwana,hata moja!,dah! basi poa bwana.

Labda hiyo ya kutowahi kuoa au kuwa na motto, kutokunywa pombe wala kuvuta (sigara, wala bangi, hata shisha) Mkristo lakini sio KKKT, sijaajiriwa nimejiajiri...........nyingine zote sina. I wish I could have been a miracle maker ningebadilisha hivyo vigezo vyako vyote vinisuit mimi......!
 
afu nishakujua wewe, we si umesoma masters mzumbe, tena corporate


Hahaa,mburaaah!,yani una akili kweli,umejuaje?. Ila kusema kweli si Mzumbe pekee wanatoa Masters.Najua umenisoma.
 
Yani bado una fikra mgando!,Dah pole sana.Natumai umenisoma.
 

Weka picha yako kwanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…