Natafuta mume wa kunioa

Natafuta mume wa kunioa

Awe na hela ya kujimu mahitaji yangu Bali Mimi I will be a submissive wife

Nina miaka 22 Mimi ni mwana mitindo natoka Kenya ninahitaji mapenzi ya kweli nanipo serious

Kama Kuna yoyote anaitaji mahusiano yakudumu mpaka ndoa naomba uje PM tafadhali tuyajenge
Kama ni mwana mitindo tena ushakosa sifa kwangu...
 
Awe na hela ya kujimu mahitaji yangu Bali Mimi I will be a submissive wife

Nina miaka 22 Mimi ni mwana mitindo natoka Kenya ninahitaji mapenzi ya kweli nanipo serious

Kama Kuna yoyote anaitaji mahusiano yakudumu mpaka ndoa naomba uje PM tafadhali tuyajenge
What do you have to offer apart from having sex with you daily? Wanawake mna matatizo sana ya kiakili.
 
Mungu akupe hitaji la moyo wako, japo umeanza vibaya sana, inaonekana unatafuta green pasture hapo ulipo maisha yamekupiga. Na hakuna mwanaume anayetaka parasitic leeching woman, washkaji watapita hakuna anayetaka kunyonywa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom