chinkychinky
Member
- Sep 24, 2020
- 18
- 170
suzie _barbie wee bado unarukaruka au na wewe unataka mtulizi akutulize?Kila la kheri mpenzi.
Ni vigumu sana mwanamke kumkatalia mzazi mwenzie.Mbona hujibu....Huyu Mtoto babake Yuko Wapi? Maana hapo ndipo Shida za Singo Maza Wengi huanziaga. Mara nyingi Mtoto huwa Chambo cha Kupasha Viporo....!