Natafuta mume wa kunioa

hakuna mwanaume mwenye huo umri halafu hajaoa [kama yupo physically and biologically fit], otherwise unatafuta mgane...
Siku nyingine uwe unasoma comment na kuielewa kwanza kabla ya kukurupuka tu hovyo!!

Amesema "Mwanaume asizidi 45"
hapo ina maana atleast awe 18 to 45 na asiwe kuanzia 46 kwenda juu,

Inaonekana ulimsumbua sana mwalimu wako darasani kukufahamisha.
 
Habari zenu wanaJf ,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.

Wasifu wangu kwa ufupi Mimi nina umri wa miaka 24 ,graduate wa chuo kikuu ,sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.

Mwanaume awe hajazidi 45 years ,asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.

Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana .Thanks.

Appearance yako ikoje
 
Huu umri hajaoa kwann unataka udanganywe my dia
 
Habari zenu wanaJf ,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.

Wasifu wangu kwa ufupi Mimi nina umri wa miaka 24 ,graduate wa chuo kikuu ,sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.

Mwanaume awe hajazidi 45 years ,asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.

Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana .Thanks.
Mimi
 
Hayo ni mawazo ambayo umeamua kuwaza kwa namna hiyo .sidhani kama kuringa ndio sababu pekee ya kutokupata mume .thanks
Nimechelewa kuiona post yako..
Kama uko na nia ya dhati naimba tuwasiliane pm
Hope hutajuta kunifahamu believe me
 
Habari zenu wana JF,

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.

Wasifu wangu kwa ufupi mimi nina umri wa miaka 24, graduate wa chuo kikuu, sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.

Mwanaume awe hajazidi 45 years, asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.

Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana.

Thanks.
Mwaka huu tutashuhudia mengi
 
Upo wapi
 
Woyoooooooooooooooooooo
Mtoto mzuri aisee
Ukikosa nistue inbobo
 
Hii Love Connect kwenye JF ina maana gani ikiwa mtu anatuma uono/ hitaji lake badala ya kupewa msaada ni kejeri, kebehi na dharau je ndo matumizi sahihi ya jukwaa hilo? Waama kwenye msafara wa mamba na kenge wamo. Binti usikatishwe tamaa na hizi kejeli, simamia unachokiamini,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom