Natafuta mume wa kunioa miaka 27-33

Natafuta mume wa kunioa miaka 27-33

madam s

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
14
Reaction score
9
Hellow friend,mimi ni msichana mwenye miaka 25,natafuta m2 aliyetayari kunioa.
sifa
awe na miaka kuanzia 27-33
awe na elimu kuanzia degree1 au mjasiliamali
mwenye mapenzi ya kweli
awe mrefu,sichagui rangi,lakini pia awe mkiristo
wenye vigezo wanipm,au 2mia email smasige@rocketmail.com,ila wajita na wasukuma watapewa kipaumbele.
 
Jaman na sie tusiokuwa na dingirii, ila sifa nyingine nnazo, ntakupa mahuba hadi ukinai, kikazi nipo manzese nauza mitumba. Karibu bibie ucpoteza bahati tujenge maisha.
 
Hellow friend,mimi ni msichana mwenye miaka 25,natafuta m2 aliyetayari kunioa.
sifa
awe na miaka kuanzia 27-33
awe na elimu kuanzia degree1 au mjasiliamali
mwenye mapenzi ya kweli
awe mrefu,sichagui rangi,lakini pia awe mkiristo
wenye vigezo wanipm,au 2mia email smasige@rocketmail.com,ila wajita na wasukuma watapewa kipaumbele.

Kwa sifa zipi?
 
haya sasa ni muda wa sisi wajita kujitwalia jiko... nikimaliza nakupeleka kule MUGANGO kiulaiinii......
 
nina miaka 28...ninasoma MSc..UDSM....ninategemea kumaliza December mwaka huu....I wish to say that natafuta binti pia so if you want to know more from me please reply @city88greendar@yahoo.co.uk
 
Da wenye certificate wahesabu imekula kwao,,ndoa za miaka hii bana,mwanaume mwenye digrii kumuoa binti form 4,la 7,diploma sawa lakini binti akiwa na digrii mpaka mtu awe na masters ama degree,tutaona mwisho wake hayaaaaaaaaa
 
Nimeipenda hio. Naweza kukuunganisha na mtu japo so msukuma wala mjita lkn anatoka kanda ya ziwa pia. Vigezo vyote hivo anavyo japo hajabahatika kupata kazi bdo. Hem ni-inbox more info then naweza niwe daraja kt yenu.
 
nina miaka 28...ninasoma MSc..UDSM....ninategemea kumaliza December mwaka huu....I wish to say that natafuta binti pia so if you want to know more from me please reply @city88greendar@yahoo.co.uk

Mmmh! Isije ukaona ni binti m-bichi kama wale ambao tuliwekewa humu wakiwa wako na breast wazi na vimin wakiwa wanasubiri uteuzi kutoka kwa Mswati. Ila jamaa daaah anakula vitu adim usipime

By the way dada uliwaona wale wa King Mswati? Kama uko sawa na yuke wa pili kutoka kushoto( kwa picha zile zilizowekwa humu JF) tafadhali naomba PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom