Polyxic
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 289
- 156
Da wenye certificate wahesabu imekula kwao,,ndoa za miaka hii bana,mwanaume mwenye digrii kumuoa binti form 4,la 7,diploma sawa lakini binti akiwa na digrii mpaka mtu awe na masters ama degree,tutaona mwisho wake hayaaaaaaaaa
sipati picha mwanamke mwenye PhD, sijui ataolewa na nani.?