Natafuta mume umri kuanzia miaka 35 - 45

Natafuta mume umri kuanzia miaka 35 - 45

lemmy15

Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
8
Reaction score
4
Mimi ni mwanamke wa kuanzia miaka 34-37, mkristo, nina mtoto mmoja, nimeajiriwa, natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo, awe mkristo, elimu kuanzia form four kuendelea. Awe mwaminifu na mwenye upendo. Awe ameajiriwa au mfanyabiashara. Miaka kuanzia 35-45. Awe tayari kupima virus.

Pleasez aliye serious tu ndio anipm.
 
Mnakula ujana afu mnatafuta wa kumaliza nao eda! Baba yake na huyo mtoto kafa au ndiyo hivyo umtaki tena? Make sasa mnatuchosha wanaume huko mtaani, makazini hamna?
 
Umekosea apo pakupima virus apo ungepata Mme usiku huu. We omba mungu tu mambo ya kupima achananayo Bi Dada.
 
Rudi kwa baba mwenye mtoto nadhani hutojuta`maisha haya kulea toto la mtu“labda father wake awe amefutika kwenye orodha ya watu duniani”lakini kama anadunda tu go back to him•
 
Vigezo na mashariti yote nimeyazingatia ninakupenda njoo inbox tufanye yetu ndoa mwezi wa sita kwani hata mimi nina mtoto mmoja na nimechoka kuishi peke yangu
 
Asanteni wote kwa ushauri mlionipa nitaufanyia kazi. Suala la mtoto wala lisikupe tabu sababu uwezo wa kumsomesha ninao.
 
Kama we ni mwaminifu rudi kwa huyo uliyezaa naye unataka uaminifu baada ya kuchoka kwenye mechi za kirafiki.

Kwa umri huo labda jamaa aliyefiwa na mke na uwe tayari kulea wanae
 
Asanteni wote kwa ushauri mlionipa nitaufanyia kazi. Suala la mtoto wala lisikupe tabu sababu uwezo wa kumsomesha ninao.

Swala sio mtoto, bali ni baba mtoto atakua anakuja kukugonga tena kitandani kwangu kwa kisingizio cha kuja kumwona mtoto.
Kama kesha kufa ni pm.
 
Jamani aliyetayari ajitokeze na awacliane na huyo Dada,cyo uanze kujudge baba ake mtoto yk wapi..hv unahic babake mtoto angekuepo/wangekua wanaelewana angetafuta Mme??mmesahau wadada mnaowabebesha mimba afu mkawakimbia?tumia busara kabla hujamchallenge mtu
 
Ujana wako ulikula na nani mbona haukuja humu kumtafuta wa kula naye ujana? Enewei, toa maelezo ya kutosha baba wa mtoto yuko wapi na kwanini mliachana.
 
kuna docta mmoja simiyu anatafuta mke saana ila ana watoto 3 mama zao tofauti bt watoto wapo kwa mama zao kama utakua tayar nikuunganishe nae ni mzuri, mcha mungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom