Natafuta Mume Umri 38-43

Kama hajakubariki kupata mtoto je?
utasema mtu kachagua?
Kuna wanaume wagumba hujasikia? Wamechagua?

haiingii aki kuwa Mungu ambay atoa agizo kuwa nendeni mkaijaze dunia atamfanya mtu awe mgumba. na kwa nini mzazi amtakie mwanae mabaya
 
Mi nina 36yrs niliacha skul darasa ya six na kukimbilia mererani ila kuhusu pesa usiulize hapa.ninamiliki mijengo ya maana hapa Atown na boma.
 
Dah shughuli pevu unayo LadyDD, wachumba 1000 mume 1. Frankly speaking usanii na maigizo ni mengi sana, na inafika mahali mtu anadhanih pesa can buy na kukuletea kila kitu. Cha msingi ni kuangalia INTEREST! Kama interest zenu ni shule its better iwe hivo mtaenda vyema. Ikiwa ni majungu mkirudi jioni mtayaongea ya mtaani yote, ikiwa mpira haya....

Huyu dada amesema any interested person am-PM, mengine mtaongea huko. Hawezi kumwaga privacy zake hapa. Wanaume wengi siku hizi wanapenda kubebwa na ndo maana wanataka amwage kila kitu hapo ili wadandie wakijua wanapata nini.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo siku mnatafuta wenzi utadhani mna mpango wa kufungua chuo ndio maana ndoa hazidumu,yaani huwa mnavunja ndoa hata kabla ya kuzifunga. Ndoa ni nje ya madigrii na kazi mnazotafuta. Badilikeni mjiandae kuzilinda ndoa na sio vyeti mlivyonavyo.
 
Ni pm niko serious
 
Dada umri haushuki zaidi kinachomata ni real love na mikakati ya maendeleo na how to raise our children others just for excess.
 

loooh na elimu yote iyo na uzee wote huo unatafuta mme jf?? sio bure

lazima utakuwa na sura mbaya sana au papuchi baya puuuuuuh:lalala:
 
Wee Dada tafadhali nakuomba ufanye disaccount ya umri na zaidi kwenye elimu maake kwa sababu wengine tupo serious lkn tukija kwenye vigezo vya elimu mmmh! ni majanga but kwenye show nasimamia kweli
 
mtu mwenye elimu ndefu anatafuta mchumba jeiefu!! kaumri nako kameenda, hiki kizazi cha dotikom utaambulia kupigwa pumb tu! kwikwikwiii
 
Jamani msiwe mnalaumu Dada kaeleza ukweli wake ila kakosea tu mambo mawili elimu na dini pendo halijali tajiri au masikini na pendo halichagui dining au umri lamsingi ni maelewano na ukweli na kuaminiana tu
 
Jamani mbona kuna yuda wangu humu. Dada Wa watu amekosa nini lakini . kwa kueleza anachokitaka. Makosa yake ni yepi . Wa Tz tubadilike please . Thanks,!
 

May the Lord grant your heart desire dear . Thanks!
 
Mtu wa kanda ya ziwa, shule yangu ndefu kuliko unavyodhani.

Hapa ndipo wanawake wengi mnaojiita wasomi mnapokosea. Na kosa hili ndo linalowafanya wanawake wengi wasomi wasidumu kwenye ndoa au wasioelewe kabisa....Hapa tu baasi.

Hata hivyo nakuombea Mungu akupe hitaji la moyo wako.
 
Mungu akujalie utape hitaji la moyo wako
Ila sidhani kama unaweza kumpata hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…