Mimi ni Mschana, umri 30 years, Sina Mtoto. Mimi ni Halfcaste wa kiarabu, sio mweusi wala sio mweupe sn, natafuta mume ambae ni mixed race na mwenye Hofu ya Mungu. Umri wa mwanaume miaka 30-45.
Miaka 30 unataka shombe shombe, huo muda unge anza kufuta since 19 yrs, sasa hivi utaishia kupata shombo shombo, la kisukuma mchanganyiko na mhaya, wanao Ishi uhamishoni mara ndani ndani.. kama naiyona 45 ile!