Natafuta mume, nina miaka 29

Ni kama ivi,nikichat nawe hapa watu wajua huyu tayari kachukuliwa...kumbe ni vituko vyangu tu na havina madhara...kiukweli nimechoka kulala pekeyangu 😊
Tatizo umewafungia vijana PM, wanashindwa jinsi ya kukupata.

Mimi ngoja niwahakikishiee, Jimbo liko wazi, mwenye uhitaji aje kutupia ndoano.
 
Sio kwa ubaya ila ungeanza kuweka tangazo hili hapo mtaani unapo kaa kwanza au mahali unaposhinda kila siku ingesaidia zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom