Natafuta mume, nina miaka 24

Hongera kushtuka mapema kujiwekeza.

Ukisubiri umri wa kustaafu itafanya ufe mapema kabla hata Pension yako hujaipata
 
Unatafuta danga la miaka 40 au 50 ikiwa wewe una 24 na hips zako bandia
 
Mademu wa Arusha hampo romantic kabisa
 
We mdada ni mchaga wa machame unataka kumuua mzee wa watu ubebe Mali
 
Labda kama unataka kuwa Mke mwenza sawa.

Pili mume hatafutwi Kwa Kujitangaza vinginevyo utaonekana una kasoro.

Mbinu ya kumpata mume ni rahisi sana ,weka mazingira ya yeye kushawishika kama utii,Ushauri ikibidi,kuvaa vizuri,Kauli njema hasa kwenye mazingira ya maudhi,kuomba radhi na mambo kama hayo.

Hapo hata kama mwanaume hajuwa na nia ya kuoa ataanza kushawishika Sasa ulifanya hivyo Kwa wanaume kadhaa wanaokutaka bila shaka utawajia vizuri na utachagua mume Bora.
 
Mambo mrembo
Niko hapa ila sio mzee wa hiyo miaka
Sijui 40
Njo basi
 
Khe
 
Ngoja nianze kutembelea mitaa ya Kwa Iddy labda nkakutana na mleta uzi, who knows! 😂😂
 
Niko Sing'isi hapa kwa Fundi, niPM
 
Pm mbona umefunga na vibonge ndo tunaona tangazo?
 
Nguo za ndani? Kwanini huuzi za kutoka china au marekani? Maana hizo ni nzuri zaidi kuliko zile za tuku na urafiki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…