Natafuta mume mwenye V.V.U

Natafuta mume mwenye V.V.U

Mimi mwanamke nina miaka 31,

Natafuta mume wakunioa awe na miaka 33

Nakuendelea nina mtoto mmoja

Nahitaji mkristo awe na kazi ya kueleweka mimi

Ukiniona hauwezi kuamini mpaka nikuambie mwenyewe sijaanza kutumi dawa matusi no,

Sitaki masihara kwa alie tayari 0654872662 ,

Awe na vina vikali usipime

Toooobaaaa
 
Zingatia matumizi ya mchicha au badilisha divice yako kama ni ya kichina.

hahaha mkuu nimezoe kula sato,dagaa na nyama.michicha siipendi yaweza kuasababu divice pia ni made in china subir nikipata mshahara nitabadili
 
Hii nilishawahi cheki kipindi flani Star TV au TBC sikumbuki vizuri make imekuwa zamani kidogo, walikuwa wanaelezea hii issue na palikuwa na couple ya mme positive na mke negative na walikuwa wameishi mda mrefu na wamezaa mtoto mmoja ambaye hakuwa na maambukizi yoyote! Kuna namna ya kuishi pindi watu kama hao wanapooana huku wakienda hospitali mara kwa mara kupata maelekezo kuhusu practice zao ili wasije ambukiza!
Na hii inawezekana lazima kwani hata mtoto anaweza kingwa na maambukizi kutoka kwa mama pindi anapokuwa tumboni kwa mama! Anyway, ma-Dr, hebu wahini huku mmeitwa! watu8, Riwa and laussane!
uliza madokta na member wengine hapa wenye uzoefu
cc Riwa laussane
 
Last edited by a moderator:
Mimi mwanamke nina miaka 31,

Natafuta mume wakunioa awe na miaka 33

Nakuendelea nina mtoto mmoja

Nahitaji mkristo awe na kazi ya kueleweka mimi

Ukiniona hauwezi kuamini mpaka nikuambie mwenyewe sijaanza kutumi dawa matusi no,

Sitaki masihara kwa alie tayari 0654872662 ,

Awe na vina vikali usipime
Vina vya nini wakati tayari ushajiingiza ''LINE''..??
 
Wenza wasioambukizwa Ukimwi; Chanzo, Changamoto zilizomo katika maisha yao - mwanzo - mwananchi.co.tz

Mkuu hili suala linawezekana kabisa isipokuwa lazima kuwe na exceptions au kuwe na umakini sana.

Ni suala refu kulielezea lakini kwa muda wako unaweza kusoma kiambatanishi hapo juu na utafiti ambao ulishawahi kufanyika nchi mbalimbali Tanzania ikiwemo...


walikuwa wanaelezea hii issue na palikuwa na couple ya mme positive na mke negative na walikuwa wameishi mda mrefu na wamezaa mtoto mmoja ambaye hakuwa na maambukizi yoyote! Kuna namna ya kuishi pindi watu kama hao wanapooana huku wakienda hospitali mara kwa mara kupata maelekezo kuhusu practice zao ili wasije ambukiza!

ma-Dr, hebu wahini huku mmeitwa! watu8, Riwa and laussane!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom