Natafuta mume mwenye V.V.U

aya dada wewe ni nouma,unataka mwenye ngoma mchangiane virusB]V[/B][/SIZE]ina Vikali Usipime= VVU[/QUOTE]
 
Reactions: amu
hope utafanikisha....hongera kwa ujasiri wako
 
Acha uongo wewe namba zenyewe umetoa za akaunti mbona hazipatikani?

Halafu pia hili sio jukwaa la kutafutia wanaume peleka mada yako kule LOVE CONNECTION.

Na weww una Vina Vikali Usipime.
 
chezeaa ngoma wewee kila mtu anasitaa ila kuna mabarazuli hata kama unangoma lazima wakugonge so angalia
 
Ukiwa HIV positive sio Lazima utafute mwenza positive pia...muhimu upate mwenza anaejua uko positive..

Ni sawa na kuruka sarakasi kwenye transformer... moja +ve na mwingine -ve halafu najua kuwa kawaka haisimami hata papuchi iwe vp??? @
 
Una hiv? Manake mtoa mada anajinyanyapaa tu hapa
Acha uongo wewe namba zenyewe umetoa za akaunti mbona hazipatikani?

Halafu pia hili sio jukwaa la kutafutia wanaume peleka mada yako kule LOVE CONNECTION.
 
Naomba ufafanuzi hapo penye red,unamaanisha status au kipato?
 
Acha uongo wewe namba zenyewe umetoa za akaunti mbona hazipatikani?

Halafu pia hili sio jukwaa la kutafutia wanaume peleka mada yako kule LOVE CONNECTION.

hapa ni jukwaa la siasae?nilikua sijaangalia vizuri
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…